Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Novemba 8, 2020 unaoletwa na Mchambuzi, Ramadhani Omary kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Mvua zinatarajiwa kuendelea kwa baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Pwani na Ukanda wa Ziwa Victoria.
Tags
Habari