Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Novemba 9, 2020 unaletwa na mchambuzi Tunza Sanane kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
ANGALIZO
KWA MUJIBU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA), VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA PWANI YA KASKAZINI (MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, MOROGORO, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA) NA MKOA WA LINDI.
Tags
Habari