John Bocco, Mkwasa watwaa tuzo Ligi Kuu Tanzania Bara
Nahodha wa Wekundu wa Msimbasi, Simba SC, John Bocco ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Novemba, 202o huku Charles Boniface Mkwasa wa Ruvu Shooting akiwa kocha Bora kwa mwezi huo;