Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akagua miradi ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Dodoma

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Khamis Hamza Khamis (aliyenyoosha kidole akiuliza maswali wakati alipotembela Mradi wa Nyumba nane za ghorofa ambazo gharama ya mradi huo ni Bilioni Sita huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zinatarajiwa kuhifadhi jumla ya familia themanini za askari.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis akikagua Mradi wa Nyumba nane za ghorofa ambazo gharama ya mradi huo ni Bilioni Sita huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zilizopo eneo la Kikombo jijini Dodoma zinatarajiwa kuhifadhi jumla ya familia themanini za askari. Anayefuatia ni Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis (katikati), akikagua ubora wa sakafu alipotembelea Mradi wa Nyumba nane za ghorofa ambazo gharama ya mradi huo ni Bilioni Sita huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zilizopo eneo la Kikombo, jijini Dodoma zinatarajiwa kuhifadhi jumla ya familia themanini za askari. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jesshi la Zimamoto,Mhandisi Julius Ntambala akitoa maelekezo ya Mradi wa Ujenzi wa Nyumba nane za Ghorofa kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis alipotembelea mradi huo ambao gharama ya mradi huo ni Bilioni Sita huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zilizopo eneo la Kikombo, jijini Dodoma zinatarajiwa kuhifadhi familia themanini za askari.Wa kwanza kushoto. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis (wapili kushoto), akiwasili eneo la Kikombo lililopo jijini Dodoma ambako kunajengwa nyumba nane za ghorofa zinazoonekana pichani ambazo gharama ya mradi huo ni Bilioni Tano huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zinatarajiwa kuhifadhi familia .Wakwanza kushoto ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jesshi la Zimamoto,Mhandisi Julius Ntambala.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news