Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. Lela Mohamed Mussa akizungumza wakati wa mkutano na Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Kale na Utalii kutoka Oman ukiongozi na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo (kulia kwa Rais), Mhandisi Ibrahim Al Kharousy, Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar. Mhe.Mohamed Ibrahim Al Balush na Bw.Ahmed Al Shekail Mhandisi wa Majengo Oman, wakifuatilia mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Kale na Utalii kutoka Oman ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo (kulia kwa Rais), Mhandis Ibrahim Al Kharousy, Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar.Mhe.Mohamed Ibrahim Al Balush na Bw.Ahmed Al Shekail Mhandishi wa Majengo Oman, wakifuatilia mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Kale na Utalii kutoka Oman ukiongozi na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo (kulia kwa Rais), Mhandisi Ibrahim Al Kharousy, Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar.Mhe.Mohamed Ibrahim Al Balush na Bw.Ahmed Al Shekail Mhandishi wa Majengo Oman na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Lela Mohamed Mussa, wakifuatilia mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Tags
Picha