Rais Dkt. Mwinyi azungumza na wananchi Kusini Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wakisalimiana na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba Ndg.Yussuf Ali Juma alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba akiwa katika ziara ya Siku mbili kisiwani Pemba, akitokea Mkoani Dodoma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahro Masoud alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba leo 17-12-2020, kwa ziara yake ya Siku mbili Kisiwani Pemba akitokea Mkoani Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidel Castro Chakechake Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wa meza kuu wakiitikia dua, ikisomwa na Sheikh. Abdalla Yussuf, baada ya kumaliza kwa mkutano wake na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Chakechake Pemba.
Wananchi wa Mkoa Kusini Pemba wakishangilia wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Chakechake Pemba uliofanyika leo 17-12-2020
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakati wa mkutano wake wa kutowa shukrani kwa Wananchi wa mkoa huo uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Chakechake Pemba uliofanyika leo 17-12-2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Ndg. Yussuf Ali Juma, wakiitikia dua ikisomwa na Sheikh Abdalla Yussuf.(haypo pichani) baada ya kumalizika kwa mkutan na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Chakechake Pemba leo 17-12-2020.
Mwakilishi wa Mabalozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba Ndg.Salum Fasihi akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Mabalozi wa Mkoa huo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidel Castro Chakechake Pemba leo,17-12-2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakati wa mkutano wake wa kutowa shukrani kwa Wananchi wa mkoa huo uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Chakechake Pemba uliofanyika leo 17-12-2020
Wazee wa Chama cha Mapinduzi Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika mkutano wake na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Chakechake Pemba leo 17-12-2020.
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Kusini Pemba na Wananchi wa Mkoa huo wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Chakechake Pemba.
Wanachama wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Chakechake Pemba leo 17-12-2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakati wa mkutano wake wa kutowa shukrani kwa Wananchi wa mkoa huo uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Chakechake Pemba uliofanyika leo 17-12-2020. (Picha zote na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news