HomeHabari Rais Dkt.Mwinyi avunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Meli na Uwakala Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Meli na Uwakala Zanzibar. Tags Habari Zanzibar Facebook Twitter