Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku leo Desemba 10, 2020 unaowasilishwa na mchambuzi Noel Mlay kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua na ngurumo zinatarajiwa kuendelea katika maeneo ya Ukanda wa Ziwa Victoria, Magharibi mwa nchi na Nyanda za Juu Kusini Magharibi.
Tags
Habari