Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Desemba 15, 2020 unaowasilishwa na mchambuzi Doreen Mwara kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua na ngurumo zinatarajiwa kuendelea katika mikoa inayozunguka Ziwa Victoria pamoja na Magharibi mwa nchi.
Tags
Habari