Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku Desemba 19, 2020 unaletwa na mchambuzi Akili Mwangaza kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), maeneo yanayozunguka Ziwa Victoria, Magharibi mwa nchi pamoja na Nyanda za Juu Kusini-Magharibi yanatarajiwa kuendelea kupata mvua na ngurumo katika maeneo machache.
Tags
Habari