Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Desemba 20, 2020 unawasilishwa na mchambuzi Ramadhani Omary kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),maeneo mengi ya nchi yanatarajiwa kuendelea kuwa na mvua na ngurumo isipokuwa ukanda wote wa Pwani pamoja na Nyanda za Juu Kaskazini-Mashariki.
Tags
Habari