Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia 3:00 usiku leo Desemba 22, 2020 unaletwa na mchambuzi Noel Mlay kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kesho kunatarajiwa kuongezeka kwa joto katika Pwani ya Kaskazini, hali hii inatarajiwa kuongeza hali ya fukuto katika maeneo hayo.
Tags
Habari