Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Vikundi vya Wajasiriamali mbalimbali kutoka Mkoa wa Kaskazini Pembe wakati wa mkutano wake na wajasiriamali hao kutoa shukrani zake kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwezi Oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba Desemba 18,2020.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utwala Bora na Utumishi wa Umma, Mhe. Haroun Ali Suleiman akizungumza na Vikundi vya Wajasiriamali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakati wa Mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Vikundi vya wajasiriamali kutoka sehemu mbalimbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia wakati wa mkutano wake wa kutoa shukrani kwa vikundi hivyo kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Baadhi ya Vikundi vya Wajasiriamali kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika viwanja vya ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba wakifuatilia mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati kizungumza na wajasiriamali wa vikundi mbalimbali katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Vikundi vya wajasiriambali kutoka sehemu mbalimbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia wakati wa mkutano wake wa kutoa shukrani kwa vikundi hivyo kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe. Salama Mbarouk Khatib akizungumza wakati wa Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na vikundi mbalimbali vya wajasiriamali vya Mkoa wa Kaskazini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) akizungumza wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Vikundi vya Wajasiriamali mbalimbali vya Mkoa wa Kaskazini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
RAIS AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM MKOA WA KASKAZININ PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kumaliza mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kumaliza mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Mwakilishi wa Mabalozi wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba,Mussa Saleh Said (Kisinja) akizungumza kwa niaba ya mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakati wa mkutano wao na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipofika kutoa shukrani zake kwao katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na viongozi wa CCM wa Jumuiya za chama na Mabalozi na kutoa shukrani zake kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa CCM wa Jumuiya za chama na Mabalozi na kutoa shukrani zake kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
BAADHI ya Viongozi wa Jumuiya za Chama na Mabalozi wa CCM wakifuatilia hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa CCM wa Jumuiya za Chama na Mabalozi na kutowa shukrani zake kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) akizungumza wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Viongozi wa CCM na Mabalozi uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa CCM wa Jumuiya za Chama na Mabalozi na kutowa shukrani zake kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi walipowasili katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi wa CCM wa Jumuiya za Chama na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Pemba,Mberwa Hamad Mberwa akizungumza kabla ya kumkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na viongozi wa CCM wa Jumuiya za Chama na Mabalozi wa CCM wakati wa mkutano wake na Viongozi hao uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa risala ya viongozi wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba na Katibu wa CCM Mkoa wa Kaskazini, Bi.Khadija Hassan Abdi, wakati wa mkutano wake na viongozi hao kutowa shukrani zake kwao, uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
MAZUNGUMZO NA VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI KUSINI PEMBA
Baadhi ya wajasiriamali kutoka Vikundi mbalimbali katika Mkoa wa Kusini Pembe wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na kutoaa shukrani kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Pemba Wilaya ya Chakechake Desemba 17,2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na baadhi ya Vikundi vya Wajasiriamali mbalimbali kutoka Mkoa wa Kusini Pemba wakati wa mkutano wake wa kutowa shukrani kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwezi wa Oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Pemba.
Baadhi ya wajasiriamali kutoka vikundi mbalimbali katika Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na kutoa shukrani kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Pemba Wilaya ya Chake chake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na baadhi ya Vikundi vya Wajasiriamali mbalimbali kutoka Mkoa wa Kusini Pemba wakati wa mkutano wake wa kutowa shukrani kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwezi wa Oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na baadhi ya Vikundi vya Wajasiriamali mbalimbali kutoka Mkoa wa Kusini Pemba wakati wa mkutano wake wa kutowa shukrani kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwezi wa Oktoba 2020, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Pemba
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mhe.Mattar Zahro akizungumza wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Husseinn Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Vikundi vya Wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Pemba.
Baadhi ya wajasiriamali kutoka Vikundi mbalimbali katika Mkoa wa Kusini Pembe wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na kutowa shukrani kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar , mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Pemba Wilaya ya Chakechake.
Baadhi ya Wajasiriamali kutoka Vikundi mbalimbali katika Mkoa wa Kusini Pembe wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na kutowa shukrani kwao kwa kumchagua kuwa Rais wa Zanzibar , mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Pemba Wilaya ya Chakechake. (Picha zote na Ikulu).