ATCL yazindua safari za ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Geita
Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ikiondoka katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato kuelekea Mwanza mara baada ya uzinduzi wa safari yake ya kwanza ya kutoka jijini Dar es Salaam Januari 9, 2021. Abiria wakishuka katika ndege hiyo ya ATCL aina ya Bombardier Q-400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Geita.Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 likiwasili katika uwanja wa ndege wa Geita, Chato Januari 9, 2021 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani Geita.