KMC FC waendelea kujiimarisha kuelekea michezo ya Ligi Kuu Bara
Kikosi cha Timu ya KMC FC kimeendelea na mazoezi yake leo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuendelea kwa michezo ya Ligi kuu Soka Tanzania inayoratajia kuendelea mapema Februari, mwaka huu.