Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akifungua miradi ya maendeleo,mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kwenda Nzega,Igunga Tabora ,Uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa Hospital ya Rufaa Mkoa -Kitete wenye thamani ya shilingi 616 millioni na baadae kuongea na wananchi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.
Tags
Habari