Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na waandishi wa habari mjini Chato mkoani Geita kuhusu ujio wa Rais wa Msumbiji, Mhe. Felipe Nyusi ambaye anatarajiwa kufanya ziara ya siku mbili nchini kuanzia Januari 11 na 12, 2021.
Tags
Habari
Safi sana. Hongereni kwa habari za mapema
ReplyDelete