Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan asherehekea siku yake ya kuzaliwa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata keki kusherehekea Siku yake ya kuzaliwa, kwenye makazi yake Kilimani jijini Dodoma leo Januari 27,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akisherehekea siku yake ya kuzaliwa, kwenye makazi yake Kilimani jijini Dodoma leo Januari 27,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Wazaidizi wake katika kusherehekea Siku yake ya kuzaliwa, kwenye makazi yake Kilimani Jijini Dodoma leo Januari 27,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news