ALHAMISI 21-01-2021
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Lindi, Mtwara, Kusini mwa mkoa wa Morogoro, Iringa, Njombe na Ruvuma.
UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI
KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya pwani ya Bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

ATHARI ZINAZOWEZA KUJITOKEZA
Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji pamoja na ucheleweshwaji wa baadhi ya shughuli za uvuvi na usafirishaji.
Tafadhali zingatia na ujiandae
...............................................................
IJUMAA 22-01-2021
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.
UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI
KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya pwani ya Bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI
KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI
ATHARI ZINAZOWEZA KUJITOKEZA
Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji pamoja na ucheleweshwaji wa baadhi ya shughuli za uvuvi na usafirishaji.
Tafadhali zingatia na ujianda.
...................................................
Tags
Habari