Ligi Kuu ya Zanzibar Mzunguko wa Kumi na moja (11), ambayo inakwenda kukamilisha Mzunguko wa Kwanza wa Msimu huu wa ligi itaendelea February 2, 2021.
Ratiba ya Mzunguko huu kama ifuatavyo
February 2, 2021.
Mao A :10:00 Alasiri
Match no 61: Mafunzo Vs Kipanga
Amaan:10:00 Alasiri
Match 62: JKU Vs Chuoni
February 3, 2021.
Amaan :10:00 Alasiri
Match no 63: KMKM VS Black sailor
Mao A:10:00 Alasiri
Mat no 64: KVZ VS Polisi
February 4, 2021.
Amaan :10:00 Alasiri
Match no 65: Malindi Vs Mlandege
GOMBANI :10:00 Alasiri
Match no 66: Hard Rock Vs Zimamoto
February 7, 2021(Kiporo)
Amaan:10 :00 Alasiri
Match no 52: Mafunzo Vs Mlandege
Tags
Michezo