Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Joannes Karungura akizungumza na Wakuu wa Kampuni za Mawasiliano juu ya kuboresha huduma za vifurushi na bando ikiwa ni agizo la Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile kwa mamlaka hiyo kukutana na wadau hao kujadili namna ya kuboresha vifurushi vya bando jijini Dar es Salaam Januari 7, 2021.