TAREHE: 31/01/2021.
Mikoa ya Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Kagera, Geita, Mwanza, Kigoma, Katavi na Ruvuma: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
................
Mikoa ya Kagera, Geita na Tabora: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
.................
Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, ngurumo za radi kwa maeneo machache na vipindi vya jua
................
Mkoa wa Kusini mwa Mkoa wa Morogoro: Unatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
...................
Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
...................
Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara Arusha, Dodoma, Singida na Tanga pamoja na (Visiwa vya Unguja na Pemba): Vinatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
....................
VIWANGO VYA JOTO VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
cha joto cha joto
ARUSHA 29°C 14°C
D'SALAAM 33°C 25°C
DODOMA 29°C 19°C
KIGOMA 30°C 20°C
MBEYA 25°C 15°C
IRINGA 27°C 16°C
NJOMBE 20°C 12°C
MWANZA 30°C 19°C
TABORA 29°C 17°C
TANGA 32°C 25°C
ZANZIBAR 32°C 26°C
................
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.
Matarajio kwa siku ya Jumanne tarehe 02/02/2021: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 31/01/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.