WEATHER FORECAST JANUARY 18, 2021
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO: TAREHE: 18/01/2021
Mikoa ya Morogoro, Iringa, Njombe, Songwe, Mbeya na Rukwa inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua
.....
Mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Mara, Simiyu, Kilimanjaro, Manyara, Arusha, Kigoma, Tabora Katavi, Ruvuma, Dodoma na Singida inatarajiwa kura na Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
.....
Mikoa ya Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia), Dar es Salaam Tanga, Lindi na Mtwara pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba kunatarajiwa kunatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
.....
VIWANGO VYA JOTO KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI
(Kiwango cha juu cha joto / Kiwango cha chini cha joto)
ARUSHA 29 / 16°C
D'SALAAM 31 / 24°C
DODOMA 28 / 19°C
KIGOMA 29 / 21°C
MBEYA 23 / 14°C
IRINGA 26 / 16°C
NJOMBE 21 / 12°C
MWANZA 28 / 19°C
TABORA 28 / 18°C
TANGA 31 / 24°C
ZANZIBAR 32 / 25°C
.....
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini, na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.
.....
Matarajio kwa siku ya Jumatano tarehe 20/01/2021: Kuongezeka kwa mvua katika ukanda wa Pwani.
.....
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 18/01/2021 na;
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA).