UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO:
TAREHE: 28/01/2021.
Mikoa ya Songwe, Mbeya, Rukwa, Iringa, Njombe, Kusini mwa mkoa wa Morogoro na Ruvuma: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
...............
Mikoa ya Kagera, Geita, Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Kigoma, Tabora, Katavi, Kaskazini mwa mkoa wa Morogoro, Mtwara na Lindi: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
................
Mikoa ya Dodoma na Singida: Unatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
.................
Mikoa ya Dar es salaam na Pwani : Unatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
.................
Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara, Arusha, Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
..................
VIWANGO VYA JOTO VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
cha joto cha joto
ARUSHA 28°C 14°C
D'SALAAM 31°C 25°C
DODOMA 30°C 20°C
KIGOMA 28°C 20°C
MBEYA 24°C 14°C
IRINGA 25°C 18°C
NJOMBE 20°C 12°C
MWANZA 30°C 19°C
TABORA 30°C 18°C
TANGA 31°C 25°C
ZANZIBAR 31°C 25°C
.................
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.
Matarajio kwa siku ya Jumamosi tarehe 30/01/2021: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 28/01/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.