TAREHE: 29/01/2021.
Mikoa ya Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Kusini mwa mkoa wa Morogoro, Ruvuma, Lindi na Mtwara: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
...............
Mikoa ya Kagera, Geita, Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Kigoma, Tabora, Katavi na Rukwa: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
................
Mikoa ya Pwani na Kaskazini mwa mkoa wa Morogoro: Unatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
.................
Mkoa wa Dar es salaam : Unatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
.................
Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara, Arusha, Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
..................
ANGALIZO LA VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MIKOA YA LINDI, MTWARA, IRINGA, NJOMBE, RUVUMA NA KUSINI MWA MKOA WA MOROGORO
VIWANGO VYA JOTO VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
cha joto cha joto
ARUSHA 28°C 13°C
D'SALAAM 31°C 25°C
DODOMA 29°C 19°C
KIGOMA 28°C 20°C
MBEYA 26°C 18°C
IRINGA 27°C 16°C
NJOMBE 20°C 12°C
MWANZA 29°C 19°C
TABORA 30°C 18°C
TANGA 31°C 25°C
ZANZIBAR 32°C 25°C
.................
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.
Matarajio kwa siku ya Jumapili tarehe 31/01/2021: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 29/01/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.