Utabiri wa hali ya hewa/ Weather Forecast today January 30th, 2021


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO:
TAREHE: 30/01/2021.


Mikoa ya Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Kagera, Geita, Mwanza, Kigoma, Tabora, Katavi, Lindi, Mtwara na Ruvuma pamoja na Kusini mwa Mkoa wa Morogoro: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
................
Mikoa ya Shinyanga, Mara na Simiyu: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
.................
Mikoa ya Dodoma, Singida na Kaskazini mwa Mkoa wa Morogoro: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo
machache na vipindi vya jua.
...................
Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia): Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika
maeneo machache na vipindi vya jua.
...................
Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara Arusha na Tanga pamoja na (Visiwa vya Unguja na Pemba): Vinatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
....................


VIWANGO VYA JOTO VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
cha joto cha joto
ARUSHA 30°C 14°C
D'SALAAM 32°C 25°C
DODOMA 29°C 19°C
KIGOMA 29°C 20°C
MBEYA 26°C 18°C
IRINGA 27°C 17°C
NJOMBE 20°C 12°C
MWANZA 30°C 19°C
TABORA 30°C 18°C
TANGA 32°C 25°C
ZANZIBAR 33°C 26°C
................
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.

Matarajio kwa siku ya Jumatatu tarehe 01/02/2021: Kupungua kwa mvua katika maeneo ya Nyanda za Juu Kusini-Magharibi na Ukanda wa Pwani ya Kusini
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 30/01/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news