Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kushoto), akifafanua jambo kwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Balozi Wilson Masilingi wakati Balozi huyo alipotembelea Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa jijini Dodoma leo 11 Februari 2021. Balozi Masilingi aliipongeza Tume na Serikali kwa kuweza kujenga Ofisi zake na kusimamia vyema Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28,2020 kwa kutumia fedha zake yenyewe. (Picha na Mroki Mroki – NEC).