Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli akizindua kiwanda Cha Ngozi Ace Leather Tanzania Ltd ,Kiwanda Cha kukoboa Mpunga, Mirza Wilmar RiceMills Kihonda, na Kiwanda Cha Kusafisha na Kufungasha mazao jamii ya kunde Mahashree Agro Processing Industry of Tanzania, Mikese mkoani Morogoro.
Tags
Habari