Mhandisi Atashasta Nditiye awaliza wabunge


Wabunge wakipokea kwa masikitiko taarifa ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kuhusu kifo cha Mbunge wa Muhambwe, Atashasta Nditiye , aliyefariki leo asubuhi katika hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, Februari 12, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Spika wa Bunge, Job Ndugai akitoa taarifa ya kifo cha Mbunge wa Muhambwe, Atashasta Nditiye, aliyefariki leo asubuhi katika hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, Februari 12, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia) akijadiliana jambo na baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kutoa taarifa Bungeni ya kifo cha Mbunge wa Muhambwe, Atashasta Nditiye aliyefariki leo asubuhi katika hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, Februari 12, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Wabunge wakipokea kwa masikitiko taarifa ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kuhusu kifo cha Mbunge wa Muhambwe, Atashasta Nditiye , aliyefariki leo asubuhi katika hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, Februari 12, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Soma zaidi kuhusu taarifa za kifo cha Mhandisi Nditiye hapa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news