HomeHabari Rais Dkt.Mwinyi amtumbua Mkurugenzi wa Uvuvi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Februari 12, 2021 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Zanzibar, Bw.Mussa Aboud Jumbe; Tags Habari Zanzibar Facebook Twitter