UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO:TAREHE: 13/02/2021.
Mikoa ya Lindi, Mtwara, Dodoma, Singida, Manyara, Kilimanjaro na Arusha: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu, Mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
.........
Mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi, Shinyanga, Simiyu, Mwanza, Kagera, Geita, Mara, Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe na kusini mwa Morogoro: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
........
Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia), Tanga, Kaskazini mwa Mkoa Morogoro pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
..........
VIWANGO VYA JOTO, VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
cha joto cha joto
ARUSHA 27°C 18°C
D'SALAAM 31°C 25°C
DODOMA 27°C 19°C
KIGOMA 29°C 22°C
MBEYA 25°C 18°C
IRINGA 21°C 17°C
NJOMBE 16°C 12°C
MWANZA 28°C 21°C
TABORA 25°C 20°C
TANGA 31°C 24°C
ZANZIBAR 32°C 26°C
..........
Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani Ya Kaskazini; na kwa kasi ya km 40 kwa saa kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi hadi makubwa
Matarajio kwa siku ya Jumatatu tarehe 15/02/2021: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 13/02/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Tags
Habari