TAREHE: 17/02/2021.
Mikoa ya Kagera, Geita, Kigoma, Katavi: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
..........
Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara na Tabora: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
............
Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
..........
Mikoa ya Ruvuma na Kusini mwa mkoa wa Morogoro: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi kwa maeneo machache na vipindi vya jua.
...............
Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia), Manyara, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma, Singida, Lindi, Mtwara, Tanga (Visiwa vya Unguja na Pemba) pamoja na Kaskazini mwa mkoa wa Morogoro: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
...........
VIWANGO VYA JOTO, VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
cha joto cha joto
ARUSHA 29°C 15°C
D'SALAAM 33°C 25°C
DODOMA 30°C 20°C
KIGOMA 31°C 21°C
MBEYA 26°C 17°C
IRINGA 26°C 17°C
NJOMBE 20°C 14°C
MWANZA 28°C 20°C
TABORA 24°C 18°C
TANGA 32°C 22°C
ZANZIBAR 33°C 25°C
.............
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa.
Matarajio kwa siku ya Ijumaa tarehe 19/02/2021: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 17/02/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.