UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO:TAREHE: 18/02/2021.
Mikoa ya Kigoma, Katavi, Kagera, Geita, Mara na Mwanza: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
.......
Mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Tabora: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
.......
Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe na Ruvuma: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
.......
Mkoa wa Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia), Dar es Salaam, Morogoro, Tanga, (Visiwa vya Unguja na Pemba), Lindi, Mtwara, Manyara, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma na Singida: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
.......
VIWANGO VYA JOTO, VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
cha joto cha joto
ARUSHA 29°C 14°C
D'SALAAM 32°C 26°C
DODOMA 31°C 20°C
KIGOMA 30°C 21°C
MBEYA 27°C 16°C
IRINGA 28°C 17°C
NJOMBE 23°C 14°C
MWANZA 28°C 22°C
TABORA 29°C 20°C
TANGA 32°C 24°C
ZANZIBAR 33°C 25°C
........
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo.
Matarajio kwa siku ya Jumamosi tarehe 20/02/2021:
Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 18/02/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Tags
Habari