TAREHE: 08/02/2021.
Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe, Lindi, Mtwara, Ruvuma pamoja na Kusini mwa Mkoa wa Morogoro: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu, Mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
...........
Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia): Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida na Kaskazini mwa Mkoa wa Morogoro: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
...........
Mikoa ya Shinyanga, Mara, Simiyu, Kagera, Geita, Mwanza, Tanga pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba: Inatarajiwa Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
chajoto cha joto
ARUSHA 27°C 18°C
D'SALAAM 30°C 24°C
DODOMA 28°C 20°C
KIGOMA 30°C 21°C
MBEYA 26°C 16°C
IRINGA 27°C 18°C
NJOMBE 19°C 12°C
MWANZA 27°C 19°C
TABORA 29°C 20°C
TANGA 32°C 22°C
ZANZIBAR 30°C 25°C
...........
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa.
Matarajio kwa siku ya Jumatano tarehe 10/02/2021: mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 08/02/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.