Meneja Biashara na Mkakati wa Mauzo wa kampuni ya simu za
mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kanda ya kati, Baraka Siwa akizungumza
kuhusu huduma za fedha zinazotolewa na kampuni hiyo wakati wa mafunzo
kwa waratibu wa wafanyabiashara wa huduma ndogo za fedha lililofanyika
mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma. Vodacom
Tanzania ni mdau wa huduma za fedha kwa njia ya mtandao kupitia M-pesa. |