Waziri Profesa Kabudi awasili nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akisalimiana na Waziri wa Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa Mhe. Jean Yves Le Drian mara baada ya kuwasili katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Ufaransa.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiteta jambo na Waziri wa Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa Mhe. Jean Yves Le Drian wakiwa wanaelekea sehemu ya mazungumzo rasmi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiteta jambo na Waziri wa Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa Mhe. Jean Yves Le Drian wakiwa wanaelekea sehemu ya mazungumzo rasmi

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news