
"Baada ya kumkuta na dawa hizo upekuzi zaidi ulifanyika nyumbani kwake na kwa kuhusisha uongozi wa Hospitali ya Wilaya ambapo walifanikiwa kukuta dawa na vifaa vya hospitali ya wilaya. Mhudumu huyo kwenye mahojiano na TAKUKURU alikiri kuiba dawa hizo,"Hayo yamebainishwa leo Februari 9, 2021 na Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na
Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mbeya, Julieth Matechi.
Tags
Habari