Nimepata tabu kuandika kwa kifupi kuelezea simanzi na masikitiko yangu kwa msiba mkubwa ulioukumba nchi yetu kwa kuondokewa na mpendwa wetu Mheshimiwa Rais.
@MagufuliJP
. Nimelazimika kuyaambatisha hapa chini. Mwenyezi Mungu amuweke mahala pema, peponi,"Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
Tags
Habari