Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ashiriki zoezi la kupasua mawe kuwezesha ujenzi wa shule


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo(kushoto), akishiriki zoezi la kung’oa mawe katika Kijiji cha Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo ni eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kuwaondolea adha wanafunzi ya kutembea umbali mrefu wanafunzi wa Kijiji hicho kufuata elimu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo akishiriki zoezi la kupasua mawe katika Kijiji cha Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo ni eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kuwaondolea adha wanafunzi ya kutembea umbali mrefu wanafunzi wa Kijiji hicho kufuata elimu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Wananchi wa Kijiji cha Bambi wakishiriki zoezi la kukusanya mawe katika eneo la Kijiji cha Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo ni eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kuwaondolea adha wanafunzi ya kutembea umbali mrefu wanafunzi wa Kijiji hicho kufuata elimu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news