
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Mb) Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Balozi Regina Hess mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dodoma. Pamoja na masuala mengine Viongozi hao walijadili masuala ya ushirikiano katika sekta ya afya,elimu,biashara,uwekezaji pamoja na maliasili na utalii.
Tags
Picha