Christian Drosten na watengenezaji wenzake wa vipimo vya Corona maarufu kama " PCR Test" wamefunguliwa mashtaka katika mahakama za Ujerumani na Marekani, kesi hizo chini ya mwanasheria Dr Reiner Fuellmich zinatokana na uthibitisho wa mapungufu ya vipimo hivyo katika kutoa majibu sahihi ya Corona, anaripoti Mwandishi DIRAMAKINI.
Hayati Rais Dkt.John Magufuli. (Picha na Maktaba).
Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt.John Magufuli ametumika kama mfano wa viongozi waliochukua hatua madhubuti baada ya kugundua udhaifu wa vipimo hivyo hali iliyopelekea kuonekana kama kikwazo na baadhi ya vyombo vya habari.
Mfanyabiashara Elon Musk kutoka Marekani ni kati ya watu mashuhuri waliotia shaka juu ya vipimo vya Corona.
Mijadala katika majukwaa ya kimataifa yamelaumu vyombo vya habari kama vile BBC kwa kujenga chuki na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya kiongozi wa Tanzania Hayati Dkt.John Magufuli. Rais Magufuli alikuwa na shahada ya Uzamivu katika sayansi ya kemia.
Tags
Habari