Kampuni ya kutengeneza vyuma na vipuri vya mashine ya FAZNAM GmbH inayomilikiwa na mfanyabiashara mwanamama wa Kitanzania, Bi.Halima Mfundo yenye makao yake makuu nchini Ujerumani inampongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Mama Samia Suluhu Hassan na inamtakia afya njema katika kutuongoza Watanzania.
Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Bi.Halima Mfundo amesema kampuni yake inaungana na Watanzania wengine katika kumuunga mkono Rais Mama Samia Suluhu Hassan.
Mungu ibariki Tanzania