Kavejuru Felix aibuka kidedea Jimbo la Buhigwe


Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Buhigwe Marycelina Mbehoma akikabidhi Cheti cha ushindi mshindi wa kiti cha Ubunge Jimbo la Buhigwe Mkoani Kigoma, Kavejuru Felix wa Chama cha Mapinduzi baada ya kuibuka mshindi na kuwabwaga wapinzani wake 12 alioshiriki nao katika Uchaguzi mdogo uliofanyika Mei 16,2021. 

Mgombea huyo alipata kura 25,274 Kati ya kura 30,320 ya kura halali zilizopigwa.

Mgombea wa ACT Wazalendo Garula Kudra alishika nafasi ya pili kwa kupata kura 4,749 na nafasi ya tatu ikienda kwa Abdallah Bukuku wa Chama cha CHAUMA aliyepata kura 125.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news