Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mei 10, 2021 anapokea hati za utambulisho kutoka kwa;
1. Mhe. Lebbius Taneni Tobias, balozi mteule wa Jamhuri ya Namibia hapa nchini.
2. Mhe. Mary O'nell, balozi mteule wa Ireland hapa nchini.
3. Mhe. Dkt. Mehmet Güllüoğlu, balozi mteule wa Uturuki hapa nchini.
4. Mhe. Marco Lambardi, balozi mteule wa Italy hapa nchini.
5. Mhe. Ricardo Ambrosio Sampio Mtumbuĺda, balozi mteule Msumbiji hapa nchini.
RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI 5 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Balozi Mteule wa Namibia hapa nchini Lebbius Taneni Tobias akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10 Mei, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula pamoja na Viongozi wengine kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Namibia hapa nchini Lebbius Taneni Tobias Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Mei, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama katika picha ya kumbukumbu na Balozi wa Namibia hapa nchini Lebbius Taneni Tobias pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (kulia) mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Namibia hapa nchini Lebbius Taneni Tobias pamoja mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu Jijini Dar es Salaam. Balozi Mteule wa Ireland hapa nchini Mary O’nell akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10 Mei, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula pamoja na Viongozi wengine kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ireland hapa nchini Mary O’nell Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama katika picha ya kumbukumbu na Balozi wa Ireland hapa nchini Mary O’nell pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (kulia) mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula pamoja na Viongozi wengine kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Uturuki hapa nchini Dkt. Mehmet Gulluoglu mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Balozi Mteule wa Uturuki hapa nchini Dkt. Mehmet Gulluoglu akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama katika picha ya kumbukumbu na Balozi wa Uturuki hapa nchini Dkt. Mehmet Gulluoglu pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (kulia) mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu Jijini Dar es Salaam. Balozi Mteule wa Italia hapa nchini Marco Lombardi akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula pamoja na Viongozi wengine kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Italia hapa nchini Marco Lombardi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama katika picha ya kumbukumbu na Balozi wa Italia hapa nchini Marco Lombardi pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula pamoja na Viongozi wengine kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Msumbiji hapa nchini Ricardo Ambrosio Sampio MtumbuÃda Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama katika picha ya kumbukumbu na Balozi wa Msumbiji hapa nchini Ricardo Ambrosio Sampio MtumbuÃda Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula. (PICHA ZOTE NA IKULU).