Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima ilioandaliwa na Gwaride maalum la Kikosi cha Polisi wa Kuzuia ghasia (FFU) katika Viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil, Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakati wa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika ukumbi huo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo.
Viongozi wa meza kuu wakifuatilia hubata ya Baraza la Eid El Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, leo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ( Wapili kushoto), akiwa na Wake wa Viongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (kushoto), wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, leo.
Baadhi ya Wananchi wa Zanzibar waliohudhuria Baraza la Eid El Fitry wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akilihutubia Baraza katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akimpa mkono wa Eid Mohammed Ali Mzee, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akitowa Mkono wa Eid El Fitry kwa Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia baadhi ya Masheikh wa Zanzibar waliofika Ikulu kwa ajili ya kumsalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Fitry iliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).
Tags
Habari