Rais Samia aandaliwa Dhifa ya Kitaifa na Rais Uhuru Kenyatta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta pamoja na Mke wa Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta kabla ya kwenda kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya Aprili 4, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya Pamoja na Mke wa Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta kabla ya kwenda kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta wakati wakielekea kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta pamoja na Mke wa Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta wakati wa nyimbo za Taifa zikipigwa katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Dhifa hiyo ya Kitaifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Kitabu kutoka kwa Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta mara baada ya Dhifa ya Kitaifa iliyofanyika katika Ikulu ya Nairobi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Picha yake wakati akikagua Gwaride katika ziara yake nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta pamoja Mke wa Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta mara baada ya Dhifa ya Kitaifa katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya. (PICHA ZOTE NA IKULU).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news