RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI PAMOJA NA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Patricia Salehe Fikirini kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Penterine Kente kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Lilian Leonard Mashaka kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Paul Faustine Kihwelo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Lucia Gamuya Kairo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Issa John Maige kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Abraham Makofi Mwampashi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Spika wa Bunge Job Ndugai, Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka (wakwanza kulia waliokaa) akiwa katika picha ya kumbukumbu na Majaji wa Mahakama ya Rufani mara baada ya hafla ya kuwaapisha iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news