WAFANYAKAZI WA SHUWASA WASHIRIKI FUTARI YA PAMOJA NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU BUHANGIJA

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) wameshiriki Futari ya pamoja na watoto wenye mahitaji maalumu (Watoto wenye ualbino, wasioona na viziwi) wanaolelewa katika kituo cha Buhangija Jumuishi Manispaa ya Shinyanga ikiwa ni sehemu ya kuutukuza Mwezi Mtukufu wa Ramadhan leo saa moja usiku Ijumaa Mei 7,2021. (Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog).
Watoto wenye mahitaji maalumu (Watoto wenye ualbino, wasioona na viziwi) wanaolelewa katika kituo cha Buhangija Jumuishi Manispaa ya Shinyanga wakichukua Futari.

Watoto wenye mahitaji maalumu (Watoto wenye ualbino, wasioona na viziwi) wanaolelewa katika kituo cha Buhangija Jumuishi Manispaa ya Shinyanga wakipata Futari.

Wafanyakazi wa SHUWASA wakipata Futari.
Wafanyakazi wa SHUWASA wakichukua Futari

Wafanyakazi wa SHUWASA wakipata Futari
Wafanyakazi wa SHUWASA wakipata Futari
Wafanyakazi wa SHUWASA wakipata Futari
Wafanyakazi wa SHUWASA wakipata Futari
Wafanyakazi wa SHUWASA wakipata Futari Mei 7,2021 saa moja usiku

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news