Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Bara Christina Mndeme leo tarehe 17/5/2021 wamezuru kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dk. John Pombe Magufuli, Chato mkoani Geita.


Tags
Habari