Na Kadama Malunde-Malunde 1 blog
Jumla ya wanachuo 92 wakiwemo wasichana 33 na wavulana 59 wamehitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) mwaka 2021 katika Chuo cha Ufundi Stadi VETA mkoa wa SMgeni rasmi Victor Mkwizu akizungumza kwa niaba ya Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga, Mhe. David Nkulila wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Jumla ya wanachuo 92 wakiwemo wasichana 33 na wavulana 59 wakiandamana wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga Ijumaa ya Mei 21,2021. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Jumla ya wanachuo 92 wakiwemo wasichana 33 na wavulana 59 wakiandamana wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Jumla ya wanachuo 92 wakiwemo wasichana 33 na wavulana 59 wakiimba wimbo wa chuo cha VETA wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu
ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) Chuo cha Ufundi VETA
Shinyanga yamefanyika Ijumaa ya Mei 21,2021 ambapo mgeni rasmi alikuwa
Diwani wa Kata ya Ngokolo Mhe. Victor Mkwizu akimwakilisha Mstahiki Meya
wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. David Nkulila.
Akizungumza
katika mahafali hayo, Mkwizu amewataka wazazi kupeleka watoto wao katika
chuo cha VETA kwani kuna mafunzo ya fani mbalimbali zitakazowawezesha
kuajiriwa ama kuajiri wao wenyewe ili kujiinua kiuchumi.
Pia
amewasihi vijana hao kuunda vikundi na kujiajiri kupitia mikopo
inayotolewa katika Halmashauri za wilaya hivyo wachangamkie fursa ya
mikopo ya asilimia 10 (4 vijana, 4 wanawake na 2 watu wenye ulemavu)
zinazotengwa na halmashauri za wilaya.
Mgeni rasmi Victor Mkwizu akizungumza kwa niaba ya Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga, Mhe. David Nkulila wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.

Kaimu Mkuu wa Chuo cha VETA Shinyanga Magu Mabelele akizungumza wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Aidha amesema Manispaa ya
Shinyanga imeandaa mazingira mazuri katika kuvutia wawekezaji kwenye
ujenzi wa viwanda vikubwa, vya kati na vidogo na kutokana na uwepo vyuo
vya ufundi vitasaidia kupata mafundi kwa ajili ya viwanda hivyo.
Kuhusu
upungufu wa mabweni na madarasa ameshauri chuo kikae na wanajamii ,
wawekezaji na wadau ili kushirikiana kujenga kwa ajili ya kupunguza adha
chuoni hapo.
Kwa upande wake Kaimu Mkuu wa Chuo cha VETA
Shinyanga Magu Mabelele amesema kinatoa mafunzo ya Kozi 10 za muda mrefu
na kozi fupi zaidi ya 27 na kwamba mpasaa kinahudumia mkoa mzima wa
Shinyanga na wana vyuo washirika zaidi ya 10 vya watu binafsi na
mashirika ya dini na sasa ujenzi wa Chuo cha VETA Kishapu unaendelea.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha VETA Shinyanga Magu Mabelele akizungumza wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga leo Ijumaa Mei 21,2021.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha VETA Shinyanga Magu Mabelele akizungumza wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Mratibu wa Mafunzo VETA Shinyanga, Rashid Ntahigie akizungumza wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Judith Mchalo akisoma Risala ya Wahitimu Daraja la III VETA Shinyanga mwaka 2021, wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga. Kulia ni Abubakari Abdallah.
Mzee Jackson Shauri akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wazazi wa wahitimu
Wahitimu Daraja la III VETA Shinyanga mwaka 2021 wakiwa kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.

Wanafunzi wa VETA wakiwa kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.

Walimu wa VETA wakiwa kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Walimu wa VETA wakiwa kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Wageni waalikwa wakiwa kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
MC Mzungu Mweusi akizungumza kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Wanafunzi wa VETA wakitoa burudani ya muziki kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Burudani ikiendelea wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Burudani ikiendelea wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Vijana wa Kundi la Kambi ya Nyani wakitoa burudani wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Burudani ikiendelea wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Wanafunzi wakionesha Onesho la Mapambo ya nywele wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Wageni waalikwa wakiwa kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Wageni na walimu wakiwa kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga yakiendelea
Wahitimu wakiwa kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Mahafali yakiendelea
Wazazi wakiwa kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Wazazi wakiwa kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga leo Ijumaa Mei 21,2021.
Wazazi wakiwa kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Wazazi wakiwa kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Wanafunzi wa VETA wakiwa kwenye Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga leo Ijumaa Mei 21,2021.
Mgeni rasmi Victor Mkwizu (kulia) akitoa cheti kwa mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga leo Ijumaa Mei 21,2021.
Mgeni rasmi Victor Mkwizu (kulia) akitoa cheti kwa mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga

Mgeni rasmi Victor Mkwizu (kulia) akitoa cheti na zawadi kwa mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga waliofanya vizuri zaidi katika masomo.

Zoezi la kupeana zawadi likiendelea
Mgeni rasmi Victor Mkwizu (kulia) akitoa cheti na zawadi kwa mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga waliofanya vizuri zaidi katika masomo.
Mgeni rasmi Victor Mkwizu akipiga picha ya pamoja na wageni waalikwa wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.
Mgeni rasmi Victor Mkwizu akipiga picha ya pamoja na Wahitimu Daraja la III VETA Shinyanga mwaka 2021 wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga.

Mgeni rasmi Victor Mkwizu akipiga picha ya pamoja na Wahitimu Daraja la III VETA Shinyanga mwaka 2021 wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga leo Ijumaa Mei 21,2021.
Mgeni rasmi Victor Mkwizu akipiga picha ya pamoja na Wahitimu Daraja la III VETA Shinyanga mwaka 2021 wakati wa Mahafali ya 35 ya kuhitimu elimu ya mafunzo ya ufundi stadi daraja la tatu (III) katika Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga. ( Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog).
Amewaomba wadau wanaoweza kuwekeza katika mabweni wasaidie ili kuondokana na changamoto ya wanafunzi kukaa mtaani.
“Changamoto
ya usafiri pia ipo wanachuo wanatumia baiskeli na bodaboda ili
kuondokana na changamoto za ajali ambazo zimekuwa zikitokea tunaomba
manispaa ya Shinyanga isaidie kupatikana kwa usafiri wa mabasi”,amesema
Mabelele.
“Bado watu wa Shinyanga hawana muamko wa kuja
kupata mafunzo hapa VETA bado ipo. Tunapata wanafunzi kutoka maeneo ya
nje ya Shinyanga lakini watoto wa hapa hawataki kuja kusoma hapa, kozi
za muda mfupi zipo lakini hawaji”,ameongeza.
Ametumia fursa
hiyo kuwaomba wakazi wa Shinyanga kutumia chuo cha VETA kupata ujuzi
mbalimbali ili wajikwamue kiuchumi, akiwasisitiza viongozi wawahamasishe
vijana kupata kupata kozi za muda mfupi na za muda mrefu waone umuhimu
wa kuwa na mafunzo ya ufundi stadi.
Akizungumza kwa niaba ya
wazazi, Jackson Shauri amewapongeza vijana hao kwa kuhitimu mafunzo hayo
muhimu ya ufundi na kuwasihi kutodharau walichojifunza chuoni kwani
wanaweza kuyatumia kujiajiri huku akiwataka wazazi kuachana na mambo ya
uswahili hivyo wapeleke vijana wao chuo cha VETA badala ya kuwaacha
warande rande mtaani bila kazi.
Akisoma Risala ya Wahitimu
Daraja la III VETA Shinyanga mwaka 2021, Judith Mchalo amesema
waliohitimu ni 92 kati yao wasichana ni 33 na wavulana 59 ambao
wamehitimu mafunzo katika fani mbalimbali ikiwemo Fani ya
Umeme,Ubunifu,ushonaji na teknolojia ya nguo,Bomba na ujenzi.
Ameyataja
baadhi ya mafanikio waliyopata wakiwa chuoni kuwa ni pamoja na kupata
mafunzo ya ufundi stadi,wamepata ujuzi wa kutosha, wameshiriki kazi za
ujenzi katika vyuo vya VET Kishapu na Igunga na wanajiamini katika
kufanya kazi kwa weledi bila kusimamiwa na mtu yeyote.
Amesema
changamoto zilizopo ni upungufu wa vyumba vya madarasa,upungufu wa
mabweni kwa ajili ya wanachuo kwani wanachuo wengi wanaishi nje ya chuo
hadi kusababisha utoro sugu kwa baadhi ya wanafunzi wa kutwa.
Ameongeza
kuwa wanatarajia kukutana na changamoto ya ajira hali inayochangiwa na
ukosefu wa mitaji hivyo kuziomba taasisi zinazohusika na mikopo ziweke
utaratibu unaoweza kutekelezeka kwa vijana wengi.
Tags
Habari